Benki ya NBC ina huduma mbalimbali za akaunti za Shari’ah-ni akaunti binafsi za inayofuata sheri ya Murahaba. Soma zaidi na ulinganishe huduma ili uchague akaunti inayokufaa zaidi kwenye maisha yako. Pia tuna akaunti za biashara na za mashirika kwa ajili ya kutoa huduma za kibenki kwa Waislamu.

Akaunti ya Hundi ya La Riba

Akaunti hii haina ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi yetu yote.

Soma zaidi

Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa Wateja wa ‘Privilage banking’

Ukiwa na Akaunti ya Hundi ya La Riba unaweza kufanya miamala yako ya kibenki ya Shari'ah-kwa kuzingatia aina ya fedha unayotaka.

Soma zaidi

Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa Wateja wenye wakubwa

Pata heshima unayostahili kwa kufungua Akaunti ya Hundi ya La Riba kwa Wateja wenye Ukwasi, utapatiwa Meneja Mahusiano mahsusi wa kukusaidia na mahitaji yako ya kibenki.

Soma zaidi

Pata faida lukuki huduma za La Riba

Huduma za kibenki za La Riba zinazotolewa na NBC hukupatia huduma zinazoendana na mahitaji yako mahsusi.

Taratibu za Shari’ah

Pata  huduma za kibenki zinazofuata taratibu za Shari'ah katika akaunti zetu zote za La Riba.

Hakuna ukomo 

Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi yetu yote NBC.

Akaunti za Kibinafsi

Ni akaunti zinazoendana na mahitahi ya maisha yako.

Kufanya malipo kwa urahisi

Huduma za kibenki nzuri, rahisi na za haraka zinazopatikana kwenye ncha za vidole vyako.

Huduma za NBC Online Banking

Pata huduma za kibenki popote na wakati wowote kupitia majukwaa yetu ya huduma za kibenki kwa njia ya mtandao na simu.

Mchakato wa kuomba ni rahisi

Maombi ya kujiunga hushughulikiwa bure na kuidhinishwa kwa wakati.

Mtandao wetu

Tuna mtando wa ATM nchi nzima.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free) 

Tuanidikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tawi la NBC