Ukiwa na Akaunti ya Shari’ah-Akaunti ya Hundi ya La Riba, unaweza kupata huduma vizuri kwa kutumia kadi ya VISA au kitabu cha hundi. Pia unakuwa na uhuru wa kuchagua aina ya huduma za kibenki katika matawi yanayo patikana nchi nzima, ikiwemo ATM, mtandao na huduma za kibenki kwa njia ya simu ya mkononi.

Fungua akaunti

Ninafunguaje akaunti yangu?

NBC account - card image
Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi la NBC lililopo karibu nawe.

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
 • Barua ya Afisa Mteji wa Kijiji au Mwanasheria
 • Picha ndogo mbili za rangi
Information - icon
Manufaa 

Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti inayofuata sheria ya Murahaba

 • Hakuna ukomo katika kuchukua fedha kwenye matawi ya NBC
 • Ina mtandao wa ATM za NBC nchi nzima
 • Inapatikana kwenye simu ya mkononi kupitia huduma za kibenki kwa njia ya mtandao
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 • Unaweza kupata huduma za kibenki kwa kutumia kadi ya VISA au hundi
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Haina mkopo wa dharura

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)
contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi