Kama mteja wa ‘Privilage banking’wa Akaunti ya Hundi ya La Riba, utakuwa na uhusiano wa pekee na Meneja Mahusiano ambaye atakusaidia kutatua mahitaji yako yote ya kifedha. Akaunti hii inapokea fedha za ndani na za kigeni na imekusudiwa kuturahisishia huduma zetu za kibenki.

 

Ninafunguaje Akaunti yangu ya La Riba kama Mteja wa ‘Privilage banking?’

Ultimate account - card image
Hand holding plus sign icon
Namna ya kuanza

Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi la NBC lililopo jirani yako

Unapaswa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kufungua akaunti

 • Nyaraka halisi za kukutambulisha – mojawapo ya hizi zifuatazo:
  • Pasi ya kusafiria
  • Leseni ya udereva
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Kitmbulisho cha Mpiga Kura
 • Barua ya Afisa Mteji wa Kijiji au Mwanasheria
 • Picha ndogo mbili za rangi
Information - icon
Manufaa
 • Akaunti ya Shari’ah-ni akaunti inayofuata sheria ya Murahaba
 • Unakuwa na Meneja Mahusiano wako
 • Ina mtandao wa ATM za NBC nchi nzima
 • Huduma za Kibenki kwa Njia ya Mtandao ni bure
 • Ina kitabu cha hundi
 • Unaweza kuchukua fedha unayohitaji kwa hundi au kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na NBC
 • Unaweza kulipia huduma mbalimbali kwa urahisi kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na hata kuhamisha fedha kielektroniki
 • Taarifa za akaunti yako za kila mwezi unazipata bure
 • Fedha zinalipwa kwa njia ya fedha taslimu, hundi na njia nyinginezo na zinaweza kuingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yako
Checklist - icon
Taarifa muhimu
 • Unatakiwa uwe na kiwango fulani cha pato kwa mwezi
 • Inapatikana kwa fedha za Kitanzania na za kigeni

Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?


Tupigie:

+255 22 219 3000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

contact.centre@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tafuta tawi