Ukiwa na mkopo Binafsi wa NBC, unakuwa na uwezo wa kupata fedha unapozihitaji na uhuru wa kuzitumia kwenye jambo lolote la muhimu ikiwemo, kulipia masomo, kuanzisha au kukuza biashara yako, kulipia huduma za afya, kununua gari au kwa jambo linguine lolote unalotaka kufanya.

Je, wewe tayari ni mteja wa NBC? *

Zingatia: Vipengele vilivyowekewa nyota (*) ni vya muhimu.

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?


Wasiliana nasi:

+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free) 

Tuandikie:

NBCRetailProductteam@nbc.co.tz

Wasiliana nasiTawi la NBC