Katika Benki ya NBC si tu kwamba tunaelewa mahitaji ya wajasiriamali, bali pia tunatambua mchango wenu katika maendeleo ya kiuchumi ya taifa letu.

 

NBC Ltd itatumia na kutoa taarifa zako binafsi pale tu inapohitajika ili kukupa huduma ulizoomba au unazohitaji kutoka NBC. Angalia Sera ya Utunzaji Taarifa ya NBC.

Nimevutiwa

Unganisha akaunti yako kwenye Huduma za NBC Online Banking.
Nufaika na viwango shindani vya riba.
Fanya miamala ya fedha za kitanzania na za kigeni.
Ni huduma za kibenki rahisi, salama na za kuaminika.

Ina Huduma mbalimbali zitakazokusaidia kufikia malengo ya biashara yako

Tuna timu maalum ya wataalam na Maafisa Uhusiano waliobobea watakaokusaidia kujua namna rahisi ya kuendesha biashara yako.

Akaunti ya Hundi

Huduma za NBC kwa ajili ya SME zinakupatia manufaa mengi ya kukusaidia kufikia malengo yako ya biashara.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Kawaida ya Hundi

Furahia uhuru wa akaunti ya hundi kwa kuweka na kuchukua fedha bila kikomo kupitia matawi yetu, mashine za ATM, mawakala wa NBC na njia za mtandaoni.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Malengo

Weka akiba kidogo kidogo kwenye akaunti ambayo haina makato ya uendeshaji.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Kawaida ya Akiba

Ni akaunti ya akiba yenye kiwango kidogo sana cha makato na haina mipaka katika kuchukua fedha.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Akiba ya Muda Maalum

Faidika na akaunti isiyo na makato ya uendeshaji kwa mwezi.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Akiba inayohamishika 

Weka fedha zako na upate faida kwenye akaunti inayokupa fursa ya kuhamisha fedha kwenda kwenye akaunti ya hundi.

Fungua Akaunti

Akaunti ya Makusanyo ya Fedha

Weka fedha za kitanzania na za kigeni na kuzichukua kila unapozihitaji.

Fungua Akaunti

Ikuze biashara yako kwa kupata mkopo maalum kwa ajili ya Wajasiriamali

Imarisha na kuendesha biashara yako vizuri kwa kutumia mkopo wa Wajasiriamali.

Mkopo wa Muda Mfupi

Uwekaji wa akiba hukupa fursa ya kupata mikopo ya muda mfupi kwa ajili ya biashara yako.

Fungua Akaunti

Mkopo wa Overdraft

Usimamizi mzuri wa mzunguko wa fedha kwa ukuaji wa biashara yako.

Fungua Akaunti

Good cash flow management for your business growth.

Mkopo wa Usafirishaji Bidhaa

Imarisha biashara zako za ndani na nje kwa kutumia Mkopo wa NBC unaotolewa kwa ajili ya biashara.

Fungua Akaunti

 

Furahia huduma za kidigitali za kibenki

Pata faida za kipekee kwa wajasiriamali.

Nimevutiwa

Huduma za NBC Online Banking

Tumia akaunti yako ya NBC popote ulipo na lipia bidhaa kupitia Huduma za Kibenki kwa njia ya mtandao.

Fahamu zaidi

Mashine za Malipo kwa Wafanyabiashara

Usikose huduma za mauzo kwa kutumia Mashine za POS za NBC.

Fahamu zaidi

Huduma za Malipo ya Kodi

Lipa kodi za TRA kupitia matawi ya NBC yaliyoenea nchi nzima.

Tawi la NBC

Klabu ya Biashara 

Furahia upatikanaji mzuri wa huduma za kibenki na zisizo za kibenki ambazo zimekusudiwa kukupatia msaada kwa ajili ya ukuaji wa biashara yako ndani na nje ya nchi.

Fahamu zaidi

Huduma za NBC Mobile Banking

Huduma za NBC zinazotolewa kwa njia ya simu hufanya biashara yako kuwa rahisi. Unachopaswa ni kukubali tu kupokea fedha za wateja kupitia akaunti zako za kwenye simu ya mkononi, kisha unazituma kutoka kwenye akaunti yako ya NBC.

Fahamu zaidi

Huduma za ATM

Mashine za ATM za NBC hukupa fursa ya kuweka fedha taslimu kwenye akaunti yoyote ya NBC, kuchukua fedha au kuhamisha fedha, kuangalia salio, kununu muda wa maongezi wa simu yako na kulipa ada za shule.

Fahamu zaidi

Huduma za Makusanyo ya Fedha

Tembelea tawi letu lolote na ufurahie huduma nzuri na za kirafiki za ana kwa ana zinazotolewa na wahudumu wetu

Tawi la NBC

 

Huduma za Kielektroniki za NBC

Pokea taarifa za akaunti yako kwa njia ya baruapepe pia pata ujumbe kwenye simu yako ya mkononi kunapokuwa na muamala wowote uliofanyika kwenye akaunti yako.

Fahamu zaidi

Faida za kipekee kwa wajasiriamali

Furahia huduma nzuri za kibenki zilizobuniwa maalum kwa ajili yako.

Urahisi

Tumia akaunti yako ya SME wakati wowote na popote duniani.

Maafisa Uhusiano

Kupitia Afisa Uhusiano maalum, unahakikishiwa huduma na ushauri wa kitaalam.

Punguza vihatarishi

Tunakuondolea mzigo wa kubeba fedha taslimu.

Mtaji

Lwezeshe biashara yako kuwa na nguvu ya kukua kupitia huduma zetu za mikopo ya biashara.

Bima

Ikinge biashara yako dhidi ya hasara inayoweza kutokana na moto, wizi, uharibifu wa mali, kuumia kwa wafanyakazi au dharura nyingine yoyote.

Mzunguko wa fedha

Jihakikishie udhibiti mzuri wa mzunguko wa fedha.

Fursa za kuwa na mtandao mpana

Fursa za kuwa na mtandao mpana wa ndani na nje ya nchi.

Mafunzo ya kukuza ujuzi

Unapata fursa za mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa na wataalam kutoka TRA, TANTRADE na TCCIA.

Usicheze na mali zako, zilipie bima.

Benki ya NBC inakupatia aina anuwai za huduma za bima kwa ajili ya uwapendao, mali na biashara zako.

Nimevutiwa

Bima za binafsi

Kupitia uzoefu wa zaidi ya miaka 20, Benki ya NBC inakupatia huduma mbalimbali za kuwalipia bima uwapendao na mali zako.

Jifunze zaidi

Nimevutiwa

Bima za binafsi

Ikinge biashara yako dhidi ya  hasara inayoweza kutokana na moto, wizi, uharibifu wa bidhaa au akiba, majeraha kwa wafanyakazi na dharura zinazowezakutokea.

Jifunze zaidi

Nimevutiwa

 

Unahitaji maelezo au msaada zaidi?

Tupigie:

+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)

Tuandikie baruapepe:

nbc_businessbanking@nbc.co.tz

Wasiliana nasi Tawi la NBC